Lipstick za Drake zamalizika dakika moja tu baada ya kuingia sokoni

Lipstick za Drake kupitia brand ya Tom Ford zimemalizika dakika moja tu baada ya kuingia sokoni.
Lipstick hizo ni sehemu ya collection ya Tom Ford, Lips & Boys.
Kupitia Instagram,
Drake amepost picha hiyo juu na kuandika:" My mom bought all of them. Hey Ma.”
Lipstick hizi zilikuwa zikiuzwa kwa $35.

Comments

Popular posts from this blog

LOWASA KUZUNGUKA TANZANIA NZIMA KUWASHUKURU WA TATANZANIA KWA KUMPIGIA KURA

Mapya yaibuka kashfa mabilioni ya uingereza

MELI YA MV ROYAL YAWAKA MOTO BAHARI YA HINDI