MELI YA MV ROYAL YAWAKA MOTO BAHARI YA HINDI

MOTO  UKIZIMWA
Meli ya MV Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba imewaka moto leo ikiwa majini katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba chanzo cha moto huo ni hitilafu iliyotokea katika injini ya meli hiyo.
Meli ya MV Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba kuelekea Unguja inaendelea na zoezi la uokoaji katika meli hiyo. 
Baadhi ya abilia wakitolewa kutoka kwenye meli ya MV ROYAL kwenda MV SERENGETI

Comments

Popular posts from this blog

LOWASA KUZUNGUKA TANZANIA NZIMA KUWASHUKURU WA TATANZANIA KWA KUMPIGIA KURA

Mapya yaibuka kashfa mabilioni ya uingereza