HILI NDILO BARAZA JIPYA LA MAAZIRI
Jumla ya wizara ni 18 , Mawaziri ni 19.
Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa
- Augustino Mahiga, Naibu Waziri - Dk. Suzan Kolimba
- Augustino Mahiga, Naibu Waziri - Dk. Suzan Kolimba
Wazara wa Utamaduni, Sanaa na michezoWaziri-Nape Nnauye
Wizara ya Nishati na Madini
Waziri -Sospeter Muhongo na Naibu Waziri-Medard Kalemani
Waziri -Sospeter Muhongo na Naibu Waziri-Medard Kalemani
Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri -Jenista Mhagama
Waziri -Jenista Mhagama
Wizara ya ofisi ya Rais, Utumishi na utawala
mawaziri wawili - Simbachawene na Kairuki
mawaziri wawili - Simbachawene na Kairuki
Ofisi ya Makamu wa Rais/Muungano na Mazingira
Waziri - January Makamba Naibu waziri Luhaga Mpina
Waziri - January Makamba Naibu waziri Luhaga Mpina
.
Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri ni Charles Kitwanga
Waziri ni Charles Kitwanga
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi
Waziri wake ni Wiliam Lukuvi Naibu Angelina Mabula
Waziri wake ni Wiliam Lukuvi Naibu Angelina Mabula
.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri - Husein Mwinyi
Waziri - Husein Mwinyi
Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri - Harrison Mwakyembe
Waziri - Harrison Mwakyembe
Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Waziri - January Makamba
Waziri - January Makamba
Wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi
Waziri- Mwigulu Nchemba Naibu Waziri- William Tate Ole Nashon
Waziri- Mwigulu Nchemba Naibu Waziri- William Tate Ole Nashon
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Waziri - Charles Mwijage
Waziri - Charles Mwijage
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri - Ummy Mwalimu Naibu - Dk Hamis kigwangalla
Waziri - Ummy Mwalimu Naibu - Dk Hamis kigwangalla
Wizara ya Sayansi, Teknolojia, Elimu na Ufundi
Waziri - bado hajapatikana - Naibu Waziri -Stela manyanya
Waziri - bado hajapatikana - Naibu Waziri -Stela manyanya
Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri - bado hajapatikana na Naibu Waziri - Injinia Ramo Makani
Waziri - bado hajapatikana na Naibu Waziri - Injinia Ramo Makani
Wizara wa Fedha na Mipango
Waziri - bado hajapatikana, Naibu Waziri - Dk. Ashantu Kijachi
Waziri - bado hajapatikana, Naibu Waziri - Dk. Ashantu Kijachi
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Waziri - bado hajapatikana, Naibu Waziri -Edwin Ngonyani.
Waziri - bado hajapatikana, Naibu Waziri -Edwin Ngonyani.
INGAWA katika wizara nne (4) bado hakuna mawaziri na wizara hizo ni
- WIZARA YA UJENI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO
- WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
- WIZARA YA SAYANSI, TECHNOLOGY, ELIMU NA UFUNDI
- WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Comments
Post a Comment