TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA
Dirisha la usajili wa majira ya baridi Ulaya la Januari linakaribia kufunguliwa timu nyingi zinajipanga kifedha kuhakikisha zinakuwa na nguvu ya kuingia sokoni. Arsenal ipo kwenye mazungumzo na nyota wa Kibrazili Arsenal wanajipanga kuanza mazungumzo na Palmeiras kuhusu uhamisho wa nyota Mbrazili mwenye umri wa miaka 18, mshambuliaji Gabriel Jesus. Chelsea & Spurs zamwania Berahino Chelsea na Tottenham zinamfuatilia kwa karibu sana Saido Berahino, zimekuwa zikichunguza mwenendo wake baada ya mshambuliaji huyo kucheza dakika zote katika kikosi cha West Brom umri chini ya miaka 21. Juve inajipanga kumsajili 'Pogba mpya' Juventus imekubali kufanya dili la kumsajili kiungo wa Modena, Emmanuel Besea. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 18 ambaye anayetajwa kuwa Paul Pogba mpya atajiunga na klabu ya Juve kwa mkopo kwanza lakini ikipewa fursa ya kumsajili moja kwa moja. Palace inaisaka saini ya Batshuayi Crystal Palace inaandaa kitita cha paundi milioni 15 ku...


Comments
Post a Comment